Advertisement

Responsive Advertisement

PAPA MSOFE AFUTIWA MASHTAKA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imemfutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara  Marijan Msofe (53) maarufu Papa Msofe na wenzake wanne.

Ni baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania( DPP) kuieleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri dhidi ya washtakiwa hao.

Post a Comment

0 Comments