NIKK WAPILI AMSHUKURU RAIS SAMIA

Kwanza namshukuru Mungu, pili Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, MHe. Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe na serikali, nina ahidi kutumia vipawa vyangu, busara zangu na uwezo wangu kuifanya kazi hii nikishirikiana na watumishi wenzangu pamoja na wananchi kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. 

Shukrani kwa wote walio nitumia salamu za pongezi na mimi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano.----->@nikkwapili 

No comments