NA GEORGE AMBANGILE

Kalvin Philips leo alikuwa mchezaji wetu bora uwanjani , hasa katika nafasi ambayo hachezi akiwa Leeds chini ya Bielsa , lakini huko nyuma aliwahi

Bielsa alimbadilisha kutoka Box to Box kwenda namba 6 mwenye uwezo wa kuanzisha mashambulizi lakini leo uwepo wa Declan Rice ilibidi arudi kwenye jukumu lake la zamani kabla ya Bielsa ...BOX TO BOX na alifanya kazi vizuri sana .

Rice anashuka chini yeye anasogea juu kuwa karibu na Mason Mount na kuwalazimsha viungo wa Croatia kushuka chini sana hasa kipindi cha kwanza . Alicheza rafu za akili sana kuzuia counter attacks za Croatia lakini pia alipiga pasi nzuri ( Assist ya goli la Sterling ) na kumiliki mpira kwa pasi fupi fupi za mita 5.

NOTE

1: Luka Modric fundi bhana 

2: Tuna wachezaji wazuri lakini kocha wetu jamani daaah

3: Hawa Croatia tulikuwa tunapiga nyingi basi tu, Czech na Scotland watusamehe ...watatujua 

No comments