MZEE WA UPAKO KUHUSU NGURUWE(KITIMOTO)NINI MAONI YAKO?
#PICHA: MZEE WA UPAKO
Akielezea utamu wa kitimoto, wakati kiongea na waumini kanisani kwake June 6, alisisitiza na kusema,
"Wengine wanaabudu jumamosi na wengine jumapili, sisi sote ni nyumba Moja yanini kugombea fito, siku zote zimeumbwa na Mungu,
Kuna wengine wanabatiza kwenye Maji mengi, wengine machache, lakini ni ubatizo, Mimi mwenyewe sikubatizwa, ila nabatiza, sijasema msibatizwe,
Wengi wanaokula kiti moto wengine hawali, Mimi nasema kuleni ni nyama salama inakaribiana na nyama nyekundu, hana madhara,
Asilimia 99.9 ya wazungu hula nyama ya nguruwe, kwao humwita "pork" sisi tunamwita "kitimoto"
Tena ukimuonja nguruwe hutoweza mwacha tena, unaweza ukampiga anayekula Kwa kutokuambia utamu wake mapema.
Ambaye hajala asiguse, maana hatoacha kumla.
Biblia umesema, " Kimuingiacho mtu siyo haramu bali kimtokacho, na matendo take, Uwongo, uzinzi, fitina ufisadi na siyo vyakula n.k, "Alisema" Nini maoni yako.?
TUPIA HAPA CHINI TUJIFUNZE KWA PAMOJA
PAKUA APP YETU BINAGO TV 👉📱PLAY STORE
Post a Comment