MWALIMU AJINYONGA OFISINI KWAKE

Wanafunzi na wafanyakazi wa shule moja ya Mwingi Kati nchini Kenya, Kaunti ya Kitui wameachwa na mshtuko mara baada ya mwalimu mkuu huyo kujiua kwa kujinyonga ofisini kwake.

Bwana Kioko Mutie ambaye alikuwa mwalimu mkuu katika Shule ya Msingi Yanyonge alijitolea maisha yake juu chini katika kuhakikisha maendeleo ya shule yake yanakwenda vizuri.

Kwa mujibu wa Walimu wenzake Mulinge Wambua amethibitisha kuwa hawajakuta barua yoyote ile ambayo labda ingewafumbua ni nini haswa alikusudia kufanya hivyo.

No comments