Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye ni Mlezi Shirikisho la Mpira wa Kikapu amezindua eneo la ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira wa Kikapu Kisarawe uliofadhiliwa na Giants Of Africa, Masai Ujiri Rais wa timu inayochezea ligi ya NBA Toronto Raptors.
Post a Comment