Advertisement

Responsive Advertisement

BASHUNGWA ATEMBELEA HOTEL YA SHILOLE

Leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa, amepata fursa akiwa na Mawaziri wenzake, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, na wabunge katika kufungua mgahawa babkubwa wa Shishi Foods, mjini Dodoma. Mgahawa huu unamilikiwa na Shishi Bebi a.k.a Shilole.

Innocent Bashungwa amesema;- @officialshilole ni mpambanaji na amefungamanisha vyema umaarufu wake na ujasiriamali ambao umempatia ajira yeye mwenyewe na vijana wengine watanzania. 

Tunaposema kazi iendelee, vijana hivi ndio namna ya kufanya. 

Badala ya kulalamika, pambana huku unaomba msaada. Serikali ipo pamoja nanyi.-----@innocentbash 

Post a Comment

0 Comments