ALIYOYASEMA UMMY MWALIMU LEO KWENYE UAPISHO IKULU
"Tunakushukuru Mhe. Rais @SuluhuSamia kwa kukamilisha Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa. Nawapongeza Mhe. Dkt. Batilda Salha Buriani na Zuwena Jiri kwa kuaminiwa na Mhe. Rais"
Waziri
"Mkoa wa Tabora una changamoto ya ukusanyaji wa Mapato wa mapato ya ndani ya Halmashauri Mhe. Rais @SuluhuSamia ameagiza tukakusanye Dkt. Batilda Buriani uliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa huo ukalisimamie kikamilifu"
"Shinyanga kwenye Ukusanyaji wa mapato ya ndani mmefikia 74% lakin upelekaji wa fedha kwenye miradi ya maendeleo bado hamfanyi vizuri. Kahama Manispaa ndio amepeleka 38% na Shinyanga Manispaa amepeleka 14% tu hivyo mkalisimamie na hili"
" Nasisitiza kwa Kila Halmashauri kuwa ukikusanya sh. 100 basi sh. 40 iende kwenye miradi ya maendeleo na miradi hiyo iwe ile inayotatua kero za Wananchi kwenye maeneo ya Afya, Elimu na Miundombinu"
"Mhe Rais Samia nikushukuru sana kwa Kumteua Fatma Mganga kuwa RAS nilipita kwenye Halmashauri yake ya Bahi hakuwa na mapato makubwa Mil 800 tu lakini alipeleka 106% kwenye miradi ya maendeleo zaidi ya Mil 300 na alifanya vitu vinavyoonekana"

Post a Comment