Liverpool na vilabu vingine vimeripotiwa kupewa nafasi ya kumsajili beki wa Barcelona Samuel Umtiti kwa pauni milioni 6 tu! Miamba ya Kikatalani inatafuta kuuza mshindi wa Kombe la Dunia ili kupata pesa kwa matumizi ya majira ya joto summer.
Post a Comment