BY MWALIMU HABELNOAH
JM LIBRARY
MWANZA
SOMA MPAKA MWISHO
Leo wakati napita pita mtaa mmoja nilimwona kijana mmoja akiwa amejilaza kwenye baraza moja mtaani hapo, huku watu wakimpita kama hawamuoni, ili bidii nimfate na kumuuliza kama yupo sawa, akanishika mkono na kunitizama kisha akaniambia naomba chakula nina njaa, nilimchukua na kwenda nae moja ya hoteli mtaani hapo,huku kila mmoja akinitizama nikiwa na kijana huyo, niliagiza chakula, na tukaanza kula, ama kweli sikuwahi kumwona mtu akifurahia chakula
Baada ya kumaliza kula, alinishika mkono wangu, na kusema
Macho hayajaona wala masikio kusikia kile Mungu amekuandalia, ni makubwa sana tofauti na unavyofikiria.
Oooh sikuwa hata na la kumwambia, kijana yule, nililia kama hakuna kesho.
Kama unasoma hadithi hii, Mungu atatenda miujiza katika maisha yako leo,.
Mungu atakupa,
*Kazi bora
*Furaha ya kudumu,
*Atatimiza haja ya moyo wako,.
Na wasiwasi utatoweka, andika amina, na ushiriki katika vikundi vitano vya facebook,Whatspp,Twitter, kama unadhani Mungu anajibu
0 Comments