Watumiaji wa simu mahiri wamekuwa "Wakitumia sana simu za Mikononi, kuliko kawaida", kulingana na utafiti wa kihistoria wa Chuo Kikuu cha London.
Baadhi ya Nchi ambazo takwimu zinaonesha kutumia Mitandao ya kijamii kupitia Simu za mikononi zaidi;
1. Uganda
2. Cameroon
3. Israel
4. Italy
5. China
6. Chile
7. Ireland
8. Brazil
9. Japan
0 Comments