TUNATOA POLE KWA RAIS SAMIA

REPOST FROM SHAFFIH DAUDA
Tunatoa pole kwa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan [@samia_suluhu_hassan] kwa msiba wa wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. Magufuli ambaye aliwahi kutambua mashindano ya Ndondo Cup na aliwahi kusema anatamani siku moja kuja kuangalia mechi za Ndondo Cup.

No comments