Leo Majira Ya Jion Nlipost Hiyo Picha Ya Pili Ya Mtoto Na Kuandika HONGERA SANA @barakahtheprince_ Na Binafsi Sion Kma Kuna Jambo Baya Hapo,Ki Ukweli Huwa Nataniana Sana Na Baraka,Sasa Nmeshangaa Leo Baada Ya Kupost Hyo Picha Akacomment Mambo Ya Ajabu Pia Akanipgia Simu Na Kuniambia Nifute Hyo Post Na Mm Nlimuelewa Nkaifuta Kweli..Kinachonishangaza Hata Baada Ya Kuifuta Hiyo Picha Ya Mtoto Bado Ananipgia Simu Na Kunitishia Pamoja Na Kunitukana...!!
Sasa Labla Nikwambie Tu Mwanangu,Huna Cha Kunifanya Chochote Makalio Meusi Wewe,Wewe Mtu Gani Ujui Utani Yani Upo Kma Kolombwee,Sasa Endelea I'll SHOW U Na Sitakuja Kuandika Tena Hapa.
0 Comments