Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS WA ZANZIBAR KUCHUKUA HATUA KALI

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuchukua hatua kali kwa wale wote waliohusika na kasoro zilitolewa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili kasoro hizo zisije kurudiwa tena.

Post a Comment

0 Comments