Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda wakitia saini mkataba wa Tamko la Pamoja kati ya Tanzania na Uganda kuhusu utekelezaji wa pamoja Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
0 Comments