Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA NA MUSEVENI WAKIONYESHA NYARAKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakiwa wameshika nyaraka za Tamko la pamoja kuhusu utekelezaji wa pamoja wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments