Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem aliyefika Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana.
Post a Comment