RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA JAMBO NA NATALIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana,

Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata 

No comments