Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA KWENYE MAZUNGUMZO NA DANGOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Mei, 2021.

Post a Comment

0 Comments