RAIS SAMIA, BALOZI WA NAMIBIA, LIBERATA

Picha 1.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Namibia hapa nchini Lebbius Taneni Tobias pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (kulia) mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Picha 2. Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Mhe. Lebbius Taneni Tobias akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10 Mei, 2021.

No comments