RAIS SAMIA ALIVYOTUA DAR LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan alivyowasili Jijini Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma.
Muda huu anazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kula nao futari katika ukumbi wa Mlimani City.
TUKO LIVE KUPITIA WEBSITE&APP YA BINAGO.
Post a Comment