RAIS SAMIA AKUTANA NA SYLVAIN ORE

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (African Court on Human and Peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè, Ikulu Jijini Dar es Salaam, Jana tarehe 27 Mei, 2021.

No comments