Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA MARUBANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Marubani pamoja na Wahudumu wa Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL muda mfupi kabla ya kuondoka Zanzibar na kurejea Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.

Post a Comment

0 Comments