Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wanahabari waliohudhuria hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania).
0 Comments