PART 2 NA HAJI MANARA


Kwa sasa akili ya kila Mwanasimba ipo Jumamosi kwenye mchezo dhidi ya Kaizer hapa Johannesburg,,,
Binafsi nipo hapa kuwajuza nn kinaendelea na maendeleo ya timu Kwa ujumla.

Mjadala mfu ulioanzishwa Kwa nia ovu kesi yake kwangu ishakuwa CLOSED ,,walionielewa ktk maelezo yangu ya jana nawashukuru na wale mabazoka wa kila siku uwanja ni wao,,hao wapo tu ,na hawataisha,,uzuri wake kwangu hawana sumu na hawana la kunifanya coz always Mungu hampi nafasi Shetani kibwengo.

Shetani kibwengo ni Mja ambae siku zote huombea anguko la mwenzie,,Kwa sasa naomba tuwapuuze na tufocus na game yetu,,tukiwaendekeza watatutoa njiani baadae watuite under dog!!

Niwahakikishie Wanahabari wote nilioshirikiana nanyi Kwa miaka mingi toka nikiwa mvulana mdogo hadi
leo,,mtaendelea kupata support yangu na naamini mmeujua ukweli wa sakata hili na mmewajua Vibwengo vzuri.

Nia yao ilikuwa support yenu but good luck imebuma,,,Simba na Media na Bugatti na Media ni blood,,,hawajawahi kunishinda coz Mungu wa haki yupo pamoja nami,,,na hawatawahi Coz Mungu huyu kawajaza mahaba waja wake kwangu na huwatumia hao kunilinda na kunipigania!!

No comments