PART 1 NA HAJI MANARA

1) Clip aliyoongelea Bugatti ni Voice Note ktk Group la Watsapp lenye wadau wengi wa soka wakiwemo baadhi ya Wachambuzi,,kisha ikavujishwa hyo saut na Wanazengo,,bila shaka yoyote kulikuwa na Ubishani mkali huko,,,
Mshawahi kujiuliza Arguments za wengine kwa nn hazikuvujishwa?

2) kwa nn inalazimishwa hyo clip nimeisemea ktk sehemu official na c ktk mijadala ya magroup ya Watsapp?

3) why watesi wangu wale wale wanalazimisha nimetukana Waandishi,wakati hakuna mahali hata kdogo nilipowataja Wanahabari ?

4) hii mob support inayotafutwa kwa nguvu hv nn intention yake?

5) anaweza kutokea yoyote miongoni mwenu anaeweza hata kuedit hyo clip kwamba nimewataja Waandishi?

6) kwa nn mtu uliyekuwa haupo ktk hilo Group la Watsapp ujiingize ktk ugomvi ambao haupo kwa kulazimisha uovu wako kwangu?

7) nn chuki yako kwangu?

8) okey toka lini kila Mchambuzi kawa mwandishi? Ujugu ni mwandishi? Mkubwa kambi ni Mwandishi? Bwana Roho mbaya ww ni mwandishi?

9) swali la mwisho,,,,lini ushawahi kuwa mwema kwa hao unaotaka support yao? Na nani aliyekwambia ww una haki ya kuwasemea wengine ? Umekuwa nani ww ?

Vp wale walioitwa wajinga wajinga uliosupport majuzi nao walalamike wapi? Au kwa kuwa wao hawana platforms zako?

Pls msikubali kuingizwa cha kike na watu waovu ktk maendeleo ya mpira wetu,,watu waliojawa chuki,choyo na hasadi,,

Watu ambao wanadhani wana haki ya kukosoa wenzao,,watu ambao wanaona kuwepo kwangu Simba kunawafanya deal zao ziwe mfu,,,watu ambao anaona hata La Liga hawajui kisa kunyimwa tenda ya jezi,,,puuzeni watu mahasidi ambao wanatamani kuniona kaburini zaid kuliko uraiani ,,watu ambao kila mwaka hutabiri Haji ataondoka Simba ,,watu ambao wanataka kutumia roho mbaya zao kugeuza story

Ukweli Clip ya juzi mnayosambaa nayo ni mijadala ya kiwatsap na waliokuwepo wenyew wanajijua na ukijihisi na ww umo ktk hzo Rubbish basi umo kweli kama alivyojihisi Muuza Sumu wetu wa Taifa,,,,,

Asanteni wote mlionyoosha Ktk post yake ya kinafik 

No comments