Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako na Waziri katika Serikali ya Uingereza anaeshughulikia masuala ya Afrika, James Duddridge walifanya ziara katika shule ya Sekondari Kibasila jijini Dar es Salaam kujionea maboresho ya miundombinu yaliyofanywa na serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R)
0 Comments