NA ROSE SHABOKA

Unajua kwamba Mungu anakuwaza?
Na sio tu anakuwaza, anawaza KUKUTENDEA MEMA.

Utafanikiwa Sana
Utastawi Sana
Utaongezeka sana
Wewe utakua msaada kwa wengine
Wewe utakua baraka kwa wengine

KWA JINA LA YESU.

No comments