Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akitembelea Maonesho ya Wiki ya Maadhimisho ya 17 ya Kumbukizi ya aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine yaliyofungwa Jana Mei 27, 2021 katika Kampasi ya Moringe Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).
0 Comments