Advertisement

Responsive Advertisement

MAJALIWA AKIONGEA NA VIONGOZI MBALIMBALI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Katibu Mkuu na Naibu Makatibu Wakuu pamoja na Watendaji Waandamizi wa Wizara hiyo katika kikao cha kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Jana Mei 27, 2021.

Post a Comment

0 Comments