Mahakama kuu ya shirikisho imewafungulia mashtaka maafisa wanne wa polisi wa Minneapolis kuhusiana na kifo cha George Floyd, wakidai maafisa hao walikiuka haki za kikatiba za Floyd.
Post a Comment