Advertisement

Responsive Advertisement

MAJAJI MKAONGOZE VYEMA-SSH

 “Haki iliyocheleweshwa ni sawa na haki iliyonyimwa, naombeni mkaongoze vema, lakini mkaongoze vyema kwa kuangalia nafsi zenu, mkaongozwe na utu, nafsi ikiwaelekeza ukachukue fedha utakuwa umetetereka, Majaji mkatekeleze majukumu kwa usaminifu mkubwa kwa kuzingatia kiapo"

Tatizo la ucheleweshaji wa kesi lipo hapa nchini, tatizo linachangiwa na upungufu wa Majaji, hivyo ni imani kuwa baada ya uteuzi huu, tatizo litapungua, najua idadi haitoshi lakini si haba” Rais SSH

Post a Comment

0 Comments