Advertisement

Responsive Advertisement

KATI YA MAJAJI 7, 3 NI WANAWAKE-SSH

Kati ya Majaji 7 walioapa wa Mahakama ya Rufaa, watatu ni Wanawake, na kati ya Majaji 21 wa Mahakama Kuu nadhani 10 ni Wanawake karibu nusu kwa nusu, hii inadhihirisha dhamira niliyosema nitajitahidi kuongeza Wanawake katika Vyombo vya Maamuzi” Rais SSH

Post a Comment

0 Comments