LIBERATA AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Denmark hapa nchini, Mhe. Mette Norgaard Dissing Spandet pamoja na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Yuri Popov

No comments