Ruchika Talwar, wa Chuo Kikuu cha Pennsylvania, alisema yeye na kikundi cha waganga walileta karibu dola 500,000 kusaidia kupeleka vifaa kwa hospitali nchini India. "Sisi tu ni kikundi cha waganga kadhaa wanaojaribu kupata msaada mahali ambapo msaada unahitajika," alisema Talwar.
0 Comments