EPSODE 5 NA KANKWI WA KANKWI
Habari ya jpili. Namshukuru Mungu kwa kunipa hekima na busara nikaweza kueleza stori ya maisha yangu niliopitia baada na kabla ya ajali. Naamini kuna baadhi mmeguswa na mmejifunza vitu viwili vitatu.
Mimi binafsi kupitia hii changamoto nilijifunza mambo kadhaa.
1. Binadam sisi si lolote hatupaswi kuwa na viburi maana hatujui kesho yetu.
2. Kipindi cha shida ndio utamjua ndugu yako na rafiki yako wa kweli.
3. Kukata tamaa ni dhambi kubwa na uvumilivu ndio kila kitu hata kama unamaumivu ya namna gani.
4. Kumbe maisha ni haya haya tu cha msingi ni kuzidi kumtegemea Mungu na kusali kwa Imani huwa Mungu anatenda just the matter of time.
Kwahio basi nina wasihi wale wote ambao wana changamoto kama yangu msikate tamaa pambana hadi kutimiza ndoto zako uwe wa kike au kiume. Lakini pia wale ndugu na familia ambao mnaishi na ndugu anachangamoto yoyote msiwachoke wapendeni simameni nao hadi mwisho msioneshe kuchoka Mungu atawabariki.
Pia nimepokea maoni mengi na mawazo yenu juu ya vitu fulani
1. Kuandika kitabu
2. Kuchangiwa ili niende nje kwa matibabu zaidi.
3. Kuweka You Tube hii stori.
4.Mnichangie michango ya kawaida kama kutoa sapoti tu kwa kuamua kushare stori iliowabariki na kuwainua wengi wenu.
Nawashukuru nitawajibu moja moja ili tuone nini tufanye mimi na nyinyi mlioshauri.

Post a Comment