Advertisement

Responsive Advertisement

DOROTHY GWAJIMA; HEDHI ISIYO SALAMA INA ATHARI

 "Hedhi isiyo salama ina athari mbalimbali za kiafya ambazo ni pamoja na kupata magonjwa yanayoweza kusambaa zaidi na kupelekea maambukizi kwenye mji wa uzazi na kupelekea ugumba, hii ni hatari." 

Amesema Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima katika ofisi za Wizara Jijini Dodoma wakati akiongea na waandishi wa Habari kuhusu siku ya hedhi ambayo inaadhimishwa kila mwaka duniani kote kila ifikapo tarehe 28 mwezi Mei

Post a Comment

0 Comments