Atletico Madrid rasmi ni Mabingwa wa LaLiga msimu wa 2020/21, baada ya kuondoka na ushindi wa bao 2 - 1 dhidi ya Real Valladolid ugenini, na kuwafanya kumaliza michuano hiyo wakiwa na points 86.
Real Valladolid 1 - 2 Atletico Madrid.
(Valladolid-18' Oscar Plano) 57' Angel Correa
67' Luis Suarez
0 Comments