Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi 23 kama ifuatavyo;
1. Amemteua Lut. Jen. Yakub Hassan Mohamed. Lut. Jen. Yakub ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (1172.
2. Amemteua Mej. Jen. Richard Mutayoba Makanzo. Mej. Jen. Makanzo ni Mkuu wa Kamandi ya Wanamaji ya JWTZ
Pereira Ame Bw. Naibu Waziri Mstaafu
Mambo ya Ndani ya Nchi.
4. Amemteua Bi. Maulidah Bwanaheri Hassan. Bi. Maulidah ni Msaidizi wa Rais Diplomasia, Ofisi ya Rais Ikulu.
5. Amemteua Bw. Togolani Edriss Mavura. Bw. Mavura ni Msaidizi wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
6. Amemteua Bw. Edwin Novath Rutegaruka. Bw. Rutegaruka ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADA).
7. Amemteua Bw. Fredrick Ibrahim Kibuta. Bw. Kibuta ni Afisa Mwandamizi katika Ofisi ya Rais, Ikulu.
8. Amemteua Bw. Noel Emmanuel Kaganda. Bw. Kaganda ni Afisa Medani, Ofisi ya Rais, Ikulu.
9. Amemteua Bi. Mindi H. Kasiga. Bi. Mindi ni Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (777).
10.Amemteua Bi. Caroline Kitana Chipeta. Bi. Chipeta ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki.
11. Amemteua Bw. Macocha Moshe Tembele. Bw. Tembele ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikimo wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
12. Amemteua Bi. Agnes Richard Kayola. Bi. Kavola ni Kaimu Mkımı wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
13.Amemteua Bw. Masoud Abdallah Balozi. Bw. Balozi ni Kaimu Mkurugenzi Ofisi ya Mambo ya Nje - Zanzibar, Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
14. Amemteua Bw. Ceasar George Waitara. Bw. Waitara ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
15. Amemteua Bi. Swahiba Habib Mndeme. Bi. Mndeme ni Afisa Mwandamizi katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC nchini Marekani.
16. Amemteua Bw. Said Juma Mshana. Bw. Mshana ni Afisa Mwandamizi katika Ofisi ya Rais, Ikulu.
17. Amemteua Bw. Alex Gabriel Kallua. Bw. Kallua ni Afisa Mwandamizi katika Ofisi ya Rais, Ikulu
18. Amemteua Bw. Mahmoud Thabit Kombo. Bw. Kombo ni Waziri Mstaafu wa Utalii na Mambo ya Kale, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, Zanzibar.
19. Amemteua Bw. James Gillawa Bwana. Bw. Bwana ni Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Shinyanga.
20. Amemteua Bi. Hoyce Anderson Temu. Bi. Temu ni Mwandishi wa Habari na Mjasiriamali.
21. Amemteua Bw. Said Shaib Mussa. Bw. Said ni Naibu Mkurugenzi, Ofisi ya Rais, Zanzibar.
22. Amemteua Bi. Elsie Sia Kanza. Bi. Kanza ni Mshauri Maalum wa Rais kwenye Jukwaa la Uchumi Duniani (Work Eenme Forum.
23. Amemteua Bw. Robert Kainula Kahendaguza. Bw. Kahendaguza ni Naibu Balozi, Umoja wa Mataifa, Geneva.
Uteuzi wa Mabalozi hawa umeanza leo tarehe 22 Mei, 2021 na wataapishwa kwa
tarehe zitakazotangazwa baadaye.
0 Comments