ANAANDIKA WOLPER STYLISH
Maisha ya mahusiano ni kama safari yeyote ambayo unaweza kujuwa uko wapi kwa wakati huo lakini huwezi kujua hatua ijayo itakuwaje maana yote yanahitaji uwezo wa mungu.
Tulianza kuibana 2016..Nikamkosea saana Tukaachana lakn ukuwah nichukia.
Tulianza kuibana 2016..Nikamkosea saana Tukaachana lakn ukuwah nichukia.
Tukawa marafk wazuri sana kwa ushauri wa biashara nk ..But baada ya maumivu Mengi ya mahusiano, kwenye Maonyesho ya sabasaba Tukakutana Tena kwenye Biashara zetu wote Tukiwa singo 2020 ,Tukaishi kwa upendo Tukafanikiwa Kwa upendo usioelezeka ,Naomba heshima unayonipa Na upendo unaonipa hudumu Milele Na Milele
Najua unajua Nakuheshim Na Nakupenda kiasi gani hilo Halina ubishi wala Mpinzani.
Najua unajua Nakuheshim Na Nakupenda kiasi gani hilo Halina ubishi wala Mpinzani.
Basi Tumeshakua ndugu siyo wapenzi Tuu Amini kwamba Nitakuheshim Milele Ata iweje wewe Ndio Mwanaume uliyenipa Furaha ya Milele yakunifanya jina jacq kubadilika Nakuwa Mama wa fulani siyo jambo Dogo japo kwa Mungu ni Dogo ila kwangu Ni kubwa Nakupongeza sana kidume wangu wa Mbegu wa alali kabisa.
Niseme tu asante mungu kwa hii zawadi (ni kubwa na inadhihirisha uku wako)
Nina mengi ya kusema ila shukurani ndo naona neno nzuri.. nakupenda.
Niseme tu asante mungu kwa hii zawadi (ni kubwa na inadhihirisha uku wako)
Nina mengi ya kusema ila shukurani ndo naona neno nzuri.. nakupenda.
Post a Comment