VPL LEO JUMATATU

Saa 8:00 mchana Mtibwa Sugar kupepetana na Polisi Tanzania. Katika mchezo wa duru la kwanza timu hizi zilipokutana Polisi Tanzania waliibuka na ushindi wa goli 1- 0. Je, leo nani kuvuna alama 3?

Saa 10:00 Jioni Wanajeshi wa mpakani Biashara United kuwaalika Kagera Sugar. Biashara United anahitaji alama 3 ili azidi kujikita nafasi ya 4 wakati Kagera Sugar anataka alama 3 ili atoke katika mstari wa kushuka daraja.

No comments