Kikosi cha Namungo Fc hii leo kimeondoka jijini Dar Es Salaam 🇹🇿 kuelekea Cairo 🇪🇬 tayari kwa mechi ijayo ya kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao Pyramids FcMechi hiyo itapigwa Aprili 28 mwaka huu
Post a Comment