Advertisement

Responsive Advertisement

SAID JUNIOR MFUNGAJI BORA UAE


Mshambuliaji Mtanzania Said Khamis Jr @said_saidjr10 anayecheza UAE katika klabu ya @baniyasclub ameibuka kinara wa magoli ligi ya falme za kiarabu @agleague U21 kwa kupachika goli 22 katika mechi 23 na assist 10.

Said jr amefikisha goli hizo baada ya leo kufunga goli 2 na assist 1 kwenye ushindi wa goli 5-1.

Big up @said_saidjr10 kazi nzuri.

Post a Comment

0 Comments