Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA: MWAKA JANA TAIFA LETU LILIFANIKIWA KUINGIA UCHUMI WA KATI

“Mwaka jana Taifa letu lilifanikiwa kuingia Uchumi wa Kati ambapo pato la wastani wa kila Mtanzania limeongezeka hadi kufikia Dola 1080 zaidi ya kigezo cha Dola 1036, bila shaka ni mafanikio makubwa, jitihada zaidi zinahitajika ili kuongeza kasi ya ukuaji wa Uchumi” Rais SSH

Post a Comment

0 Comments