Laliga 🔥!Leo Barca akiwa Camp Nou 🏟 anamkaribisha Getafe,Barca akiisaka top 3 katika msimamo wa Ligi anakutana na Getafe ambaye hajashinda mchezo hata mmoja wa Ligi katika michezo mitano ya mwisho huku Barca kashinda minne na kupotez mmojaJe leo Barca anachukua point 3 muhimu?
0 Comments