“Tutakuza usawa wa kijinsia kwa kuteua Wanawake wengi zaidi kwenye nafasi za Uongozi lakini kama nilivyosema ni kuendana na sifa na vigezo.
Mashirika mengi ya Umma yanaendeshwa kwa kusuasua, ikifika wakati wa kutoa gawio Serikalini Viongozi wa Mashirika hayo wanahangaika kutafuta gawio wakihofia nafasi zao, tutaboresha Mashirika ya Umma ili yawe na tija na kuzalisha faida” Rais SSH
0 Comments