Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEMPONGEZA IDRIS KUONEKANA NETFLIX

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amempongeza msanii Idris Sultan mara baada ya filamu yake #Slay kuonekana #Netflix.

Idris amejibu pongezi hizo kwa kuandika; "Baba baba baba @jakayakikwete 🙈. Mapenzi yako kwangu na kwa maendeleo ya vijana wa kitanzania kama mimi ni toshaaaaa kuonesha weupe na nuru ya nafsi yako na moyo". 

"Mwenyezi Mungu akupe mema utakayo kabla hata ya wewe kumuomba na apokee dua zetu kwako na familia yako 😍🙏🏽 .. Nitakuwa naipost hii kila nikipata wasaa pia 😂🙌🏽.. Itabidi tuvumiliane humu 😅 things have biten one another each other eaten the other one together (Mambo yameumana)"
-

Post a Comment

0 Comments