Advertisement

Responsive Advertisement

PICHA YA PAMOJA BUNGENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi, Marais Wastaafu, Rais wa Awamu ya Pili Mhe. Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isidor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman na Makamu Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Ahmed Suleiman Abdullah.Tarehe 22/04/2021 Bungeni Dodoma Rais Samia alipohutubia Bunge.

Post a Comment

0 Comments