"Majibu ya vipimo vya #Covid19 yametoka na tunamshukuru Mungu wote tupo negative na hali ya wachezaji wote ipo sawa hakuna majeruhi" maneno ya daktari wa Namungo FC, Dkt. Goar Achimpota akielezea matokeo ya vipimo yaliyofanyika jana.
Vijana hao kutoka Ruangwa, mkoani Lindi, watashuka dimbani leo saa 4:00 usiku kwenye mchezo wake wa mwisho wa kundi ‘D’ wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kumenyana na Pyramids FC.
#CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #NamungoMisri #NamungoFCvsPyramids
0 Comments