S A I D O - N T I B A Z O N K I Z A !
- Mpaka sasa (Vpl) hakuna mchezaji mwenye uwiiano mzuri wa idadi ya mechi na magoli aliyohusika kama Saido Ntibazonkiza 🇧🇮

👕 06 = Michezo
🎯 05 = Assists
⚽ 04 = Goals

- Michezo (6) amehusika kwenye magoli (9) ligi kuu Tanzania bara 🔥

NB ; Lakini alichokifanya leo baada ya kufunga goli na kuomba sub kimeonesha kocha timu imemzidi, nidhamu hakuna.

- Binafsi nasema Saido anatakiwa awaombe radhi wanayanga kwa kumdharirisha kocha Juma Mwambusi na viongozi wengine.

- Ni utovu wa nidhamu, yeye hatakiwi kujiona ni mkubwa kuliko timu. Yanga ni kubwa kuliko yeye ...  Hata kama hakupenda kuwekwa benchi hakutakiwa kufanya vile mbele ya macho ya watu wote.